Karibu lunch JF

Karibu lunch JF

Mshangazi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2024
Posts
1,143
Reaction score
4,462
Leo nimepata uvivu wa kupika lunch. So kwa kuwa muda umekwenda sana nimeona vyema niandae chakula cha haraka nachokipenda sana kisha niwakaribishe wanaJF wote tuje tushirikiane chakula cha mchana.
Nimeandaa karoti moja na ndizi mbivu kubwa mbili za mzuzu na nitashushia tango langu mwishoni ili kujaziliza panapobaki tumboni.
Nawakaribisha wanaJF wote bila kumsahau rafiki yangu kipenzi okwi bobani sunzu na Equation x
 
Tatizo la nguvu za kule chini halitaisha kwa mlo huo; pika makande pamoja na viazi vitamu udumishe mila
 
Back
Top Bottom