Mshangazi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,143
- 4,462
Leo nimepata uvivu wa kupika lunch. So kwa kuwa muda umekwenda sana nimeona vyema niandae chakula cha haraka nachokipenda sana kisha niwakaribishe wanaJF wote tuje tushirikiane chakula cha mchana.
Nimeandaa karoti moja na ndizi mbivu kubwa mbili za mzuzu na nitashushia tango langu mwishoni ili kujaziliza panapobaki tumboni.
Nawakaribisha wanaJF wote bila kumsahau rafiki yangu kipenzi okwi bobani sunzu na Equation x