Karibu mafyeko bucha,tunapokea order ya nyama ya ng'ombe jumla na rejareja

Karibu mafyeko bucha,tunapokea order ya nyama ya ng'ombe jumla na rejareja

Dr. Wansegamila

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2012
Posts
3,036
Reaction score
8,395
Mafyeko bucha la kisasa tupo moshi Longuo B;maduka ya juu(barabara ya kcmc) tunachinja nyama safi ya ng'ombe kila siku; weka oda yako sasa kwa jumla na rejareja!!
Karibu sana.
Ukitoa order kuanzia kilo 10 tutakufikishia ulipo.
Wasiliana nasi kupitia 0757754019; 0754327452
 
Order huwa zinatafutwa, utasubiri sana
 
Order huwa zinatafutwa, utasubiri sana
mkuu, ningekuwa sina oda unadhani ningekuwa naangusha ng'ombe daily? Ni kwamba nataka kuongeza idadi ya wateja na jf ni moja ya sehemu ambayo naweza kuitumia kufanya hivyo; sijaona sababu ya wewe kunikejeli mkuu.
 
Back
Top Bottom