Karibu Mama Samia katika Jiji la Mwanza

Karibu Mama Samia katika Jiji la Mwanza

kahembe

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2015
Posts
227
Reaction score
310
Mh.Rais atakuwepo jijini mwanza katika tamasha la kukuza mila za ziwa Viktoria ( BULABO) tamasha ilo litafanyika kisesa mwanza.
Nyote mnakaribishwa....
 
Kwanini anakwenda kushiriki sherehe hiyo?
 
Mh.Rais atakuwepo jijini mwanza katika tamasha la kukuza mila za ziwa Viktoria ( BULABO) tamasha ilo litafanyika kisesa mwanza.
Nyote mnakaribishwa....
mkuu linatuongezea nini hilo tamasha
unaposema mila za ziwa victoria una maanisha nini
ujue ziwa limezungukwa na wahaya,wakurya,wajita,wajaluo na wakenya pia waganda
je wote hao wanahusika
 
Kuna uhusiano gani kati ya hizo mila na mauaji ya albino.
 
Akifika mwambieni...

Mwanza inahitaji International airport kwa uharaka sana...

Chuo cha Madini kilipaswa kujengwa Mwanza...

Mwambieni Mwanza ina tatizo la maji licha ya kuzungukwa na ziwa...

Elezeni matatizo yenu, msijipendekeze...

Mnachukuliwa poa kwasababu ya kujipendekeza.
 
Mh.Rais atakuwepo jijini mwanza katika tamasha la kukuza mila za ziwa Viktoria ( BULABO) tamasha ilo litafanyika kisesa mwanza.
Nyote mnakaribishwa....
Jiji kubwa la kisasa na mfano barani Afrika na dunia.
 
Mh.Rais atakuwepo jijini mwanza katika tamasha la kukuza mila za ziwa Viktoria ( BULABO) tamasha ilo litafanyika kisesa mwanza.
Nyote mnakaribishwa....

Hii ndiyo legacy atakayotuachia
 
Back
Top Bottom