Si Hangaya mkuu?au huwa wanabadilisha!!!Sawasawa.Mmepanga SSH aitwe mtemi/ntemi nani safari hii?
Wasugunsu walivyo,watampa cheyo kingine.Subiri ushangazwe.Si Hangaya mkuu?au huwa wanabadilisha!!!
mkuu linatuongezea nini hilo tamashaMh.Rais atakuwepo jijini mwanza katika tamasha la kukuza mila za ziwa Viktoria ( BULABO) tamasha ilo litafanyika kisesa mwanza.
Nyote mnakaribishwa....
Bulabo ni wasukuma sio Mila za Kanda ya ziwamkuu linatuongezea nini hilo tamasha
unaposema mila za ziwa victoria una maanisha nini
ujue ziwa limezungukwa na wahaya,wakurya,wajita,wajaluo na wakenya pia waganda
je wote hao wanahusika
Jiji kubwa la kisasa na mfano barani Afrika na dunia.Mh.Rais atakuwepo jijini mwanza katika tamasha la kukuza mila za ziwa Viktoria ( BULABO) tamasha ilo litafanyika kisesa mwanza.
Nyote mnakaribishwa....
Mh.Rais atakuwepo jijini mwanza katika tamasha la kukuza mila za ziwa Viktoria ( BULABO) tamasha ilo litafanyika kisesa mwanza.
Nyote mnakaribishwa....