Karibu Maonesho Kimataifa ya Kilimo (Nane Name) Mbeya Ujipatie Kuku wa Shilingi Laki 7

Karibu Maonesho Kimataifa ya Kilimo (Nane Name) Mbeya Ujipatie Kuku wa Shilingi Laki 7

Laki saba hapo si napata majike ya kondoo 8 na dume zuri la 120k moja baada ya miezi 4 nakua na kondoo 7 wa ziada waliozaliwa. Kuku kwa urembo sio mbaya ila mazingira yetu wengi hayaruhusu.
 
Mbeya imeanza kunoga,huku Maonesho ya Kilimo ya Kimataifa Maarufu kama Nanenane yakishika Kasi

Kwenye Maonesho Kuna ingizo jipya la kuku wa Shilingi Laki 7 za Kitanzania.

Fungua video hii hapa chini kuona hao kuku 👇

Kama unaweza kununua huyu kuku kuna haja gani ya kupinga diipiiweldi?
 
Huu ni uongo kwani hawa Brahma sio kilo 10 maana kwa jogoo ni 5.4kg

Kwa bei itakuja kushuka kama watafuga watu wengi na kufanya kuku wa nyama badala ya show

America waliwatoa Shanghai miaka ya nyuma sana na kuwafanya kuku wa nyama kwa mahitaji yao

Wao pia walikuwa wanauza bei kubwa kuanzia $100-150

Siwezi kununua kwa laki 7 labda mbuzi ila sio kuku
 
Back
Top Bottom