Imefutwa ufurahi wwSi ndiyo nimewauliza hivyo.
Uwe unatupa hata muda wa kupumua ustadhatiKuuliza jambo la Kitaifa ni utata?
Kama unaweza kununua huyu kuku kuna haja gani ya kupinga diipiiweldi?Mbeya imeanza kunoga,huku Maonesho ya Kilimo ya Kimataifa Maarufu kama Nanenane yakishika Kasi
Kwenye Maonesho Kuna ingizo jipya la kuku wa Shilingi Laki 7 za Kitanzania.
Fungua video hii hapa chini kuona hao kuku 👇
siwezi nunua kuku kwa laki sabaMbeya imeanza kunoga,huku Maonesho ya Kilimo ya Kimataifa Maarufu kama Nanenane yakishika Kasi
Kwenye Maonesho Kuna ingizo jipya la kuku wa Shilingi Laki 7 za Kitanzania.
Fungua video hii hapa chini kuona hao kuku 👇