NBC LTD ndio bank ya serikal na ningewaona wana akili kuienzi brand ya Twiga wa NBC ila kama anakimbia kivuli cha mkapa basi ipo siku Nyerere atafufuka. End
Imeathiriwa na nani??sekta ya fedha imeathirika sana sasa hivi
Ajira zinakufa kila kukicha hao hao waling'ang'ania kuuza NBC enzi hizo.Serikali imerudi kwa kasi kwenye Biashara mbalimbali, na Sasa inakuja na Benki kubwa ya kibiashara Tanzania ambapo itamilikiwa kwa 100% na serikali.
Benki itaenda kwa jina la Tanzania Commercial Bank.
Inatokana na kuunganishwa kwa Benki ya Posta, Tanzania Postal Bank, Tanzania Investment Bank na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania, Tanzania Agricultural Development Bank.
Mchakato unafanyika kimyakimya chini ya uratibu wa Bank of Tanzania.
Kaeni tayari kwa hiki kitu kipya.
Ajira zinakufa kila kukicha hao hao waling'ang'ania kuuza NBC enzi hizo.
Yaani nchi za kiafrika tabu tupu
Hapo makato na usalama wa siri zetu tukiweka mamilion utakuwaje
Daah
Kuna yule mkurugenzi wa TADB nadhani anaitwa Japhet J naona kila benki anayohamia inakufa au ina merge. Kila mwaka anahama alianzia UBA nadhani, akaenda TWB ikafa sasa kaenda huku TADB nako wana merge. Muoneeni huruma jamani
kama kweli hiyo benki itaanzanishwa nna hakika CEO wa TPB atapewa ukurugenzi maana ilibaki robo awe CEO wa CRDB
Mimi naona zitaongezeka kwasababu itawalazimu kufungua matawi nchi nzima na kuboresha zaidi huduma. Mfano Posta kuna sehemu wana vi-matawi vidogooo kama ka kichochoro tu,ikiunganishwa naamini itakwenda kwenye Wilaya zote hivyo lazima watendaji waongezeke.
NBC haikuuzwa ABSA hawakutoa hata senti moja kuinunua NBC. Billion 11 za kuinunua NBC zilitolewa na NMB, hivyo Basi ABSA walipewa bure
Tayari Bank ya Posta ina matawi wilaya zote TanzaniaMimi naona zitaongezeka kwasababu itawalazimu kufungua matawi nchi nzima na kuboresha zaidi huduma. Mfano Posta kuna sehemu wana vi-matawi vidogooo kama ka kichochoro tu,ikiunganishwa naamini itakwenda kwenye Wilaya zote hivyo lazima watendaji waongezeke.
macson
Kama kweli, ITAKUJA KUUZWA tuNBC mwekezaji mkubwa ni Barclays kupitia ABSA. Hii Benki mpya itamilikiwa kwa [emoji817] na serikali
Vibanda vya mawakala navyo ni Matawi? Kilwa hatuna TPBTayari Bank ya Posta ina matawi wilaya zote Tanzania