Karibu Morocco simba

Karibu Morocco simba

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Huyu ambaye anaongeya hapa ni casablanca mwenyewe
Na Sema hivi mroge mrogavyo
Washeni moto mjuavyo lakini kwangu unakula 3-1 ilo sio ombi ni sharti
 
Huyu ambaye anaongeya hapa ni casablanca mwenyewe
Na Sema hivi mroge mrogavyo
Washeni moto mjuavyo lakini kwangu unakula 3-1 ilo sio ombi ni sharti
Mjinga rudi darasani kwanza, unajiaibisha jukwaani wewe mwarabu wa Kasulu.
 
Watoto wame vamia JF .mtu mzima hawezi kuanzisha thread ya kipuuzi hivi
 
Robo fainali ishaisha. Hakuna goli tena.

Simba ndo ameshafuzu hivyo
 
Back
Top Bottom