Karibu muagize nafaka

Karibu muagize nafaka

FLORA KIBONA

Member
Joined
Dec 8, 2023
Posts
10
Reaction score
6
Hello wana Jf kwa wafanyabiashara wa biashara ya mchele hasa wale ambao bado mna mitaji midogo haina haja ya kutumia gharama ya kusafiri mpaka Mbeya

Karibu uagize mzigo unaohitaji kutoka kwetu nipo mashine za mpunga wilayani Mbarali

Na hata kama unahitaji kuanzisha biashara hii ya mchele kwa mji uliopo Karibu tukuhudumie
 
Hello wana Jf kwa wafanyabiashara wa biashara ya mchele hasa wale ambao bado mna mitaji midogo haina haja ya kutumia ghalama ya kusafiri mpaka mbeya Karibu uagize mzigo unaohitaji kutoka kwetu nipo mashine za mpunga wilayani Mbarali
Na hata kama unahitaji kuanzisha biashara hii ya mchele kwa mji uliopo Karibu tukuhudumie
kuazisha biashara bila mtaji.

Udalali huu
 
Hello wana Jf kwa wafanyabiashara wa biashara ya mchele hasa wale ambao bado mna mitaji midogo haina haja ya kutumia gharama ya kusafiri mpaka Mbeya

Karibu uagize mzigo unaohitaji kutoka kwetu nipo mashine za mpunga wilayani Mbarali

Na hata kama unahitaji kuanzisha biashara hii ya mchele kwa mji uliopo Karibu tukuhudumie
Ndo kusema Jf umejiunga jana Mkuu? Si utumie akaunti yako ya siku zote ili kujijengea imani zaidi hapa ndani.
 
Asante kwa Bandiko la Biashara Mkuu.

ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO!

Yangu ni hayo tu!

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Hello wana Jf kwa wafanyabiashara wa biashara ya mchele hasa wale ambao bado mna mitaji midogo haina haja ya kutumia gharama ya kusafiri mpaka Mbeya

Karibu uagize mzigo unaohitaji kutoka kwetu nipo mashine za mpunga wilayani Mbarali

Na hata kama unahitaji kuanzisha biashara hii ya mchele kwa mji uliopo Karibu tukuhudumie
Mie nahitaji nafaka ila masharti yangu nalipa pexa zako nikishajiridhia mzigo umenifikia. Je upo tayari niagize kwako?
 
Alipo sema wenye mitaji midogo Haina haja ya kusafiri kwenda mbeya. Alikua anamaanisha nn?. Be smart.
Anamaanisha atakutumia au kukuletea ili usiunguze nauli
 
Back
Top Bottom