Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,076
- 5,483
Sawa mkuu karibu sanaNpo maskani na sk 🚬 yenye nchi tatu ,nasubiri hyo tarehe na miaka mzungu aliyotukaririshaa 🚬
NI wapi huko?Huku tuliko tayari tumeingia mwaka mpya...Happy New Year JF wote
Amina mkuu ni jambo lakujivunia sanaMe nipo kitandani na mke wangu na mwanangu, Mungu asante kwa kuona mwaka mwingine
Kwakweli mambo yamebadilika sana
Heri ya mwaka mpya na hongera piaHeri ya mwaka mpya me nimeupokea nikiwa masikani
Sana, kupo kimya sanaKwakweli mambo yamebadilika sana
Siku izi hakuna vijana machachari haaahaa 😅 😅