Karibu mwaka 2025

Karibu mwaka 2025

Melancholic

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2018
Posts
3,076
Reaction score
5,483
Zikiwa zimebaki dakika chache kuuaga mwaka 2024 na kuukaribisha 2025.
Em tumbie mdau wa Jf 2025 unaupokea ukiwa wapi?

Kwa upande wangu huu mwaka nitaupokea nikiwa kwenye basi kutokea Musoma kwenda Dar es salaam.
Karibuni.
 
Screenshot_20250101-002211_WhatsApp.jpg
 
Back
Top Bottom