Karibu Mwenge wa Uhuru Ndani ya Mkoa wa Tabora

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301
MBUNGE KAINJA - KARIBU WANANCHI WOTE WA MKOA WA TABORA TUUPOKEE MWENGE WA UHURU

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Jacqueline Kainja Andrew anawakaribisha Wananchi wote wa Mkoa wa Tabora kushiriki Mapokezi ya Mwenge wa Uhuru ambao umeanza kuzindua miradi mbalimbali ndani ya Mkoa wa Tabora.

Mwenge wa Uhuru umepokelewa tarehe 14 Septemba, 2023 na utahitimisha ziara yake Tarehe 21 Septemba, 2023 katika Wilaya ya Igunga na kukabidhiwa kwenda Mkoa wa Singida tarehe 22 Septemba, 2023.

Kauli Mbiu ya Mwenge wa Uhuru mwaka 2023 - "Tunza Mazingira, Okoa Vyanzo vya Maji kwa Ustawi wa Viumbe Hai kwa Uchumi wa Taifa"

#UWTImara
#JeshiLaMama
#KaziIendelee

 
Nyuzi nyingine za KICHOKO sana
 
Mnakaribisha malaana na mabalaa.
Isaya 50:11
 
Siku hizi mwenge unawamulikia walamba asali kufanya mambo yao
 
Upumbavu tu.
 
Tabora a.k.a Toronto hongera unyamwezini kwa maendeleo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…