Karibu myc kwa huduma za bure

Karibu myc kwa huduma za bure

APCS TANZANIA

Member
Joined
Jun 28, 2013
Posts
8
Reaction score
1
Apcs kwa kushirikiana na amref kwa ufadhili wa sida kwa kupitia mradi wa tuitee tunatoa huduma za counselling kwa watu wote hasa vijana miaka 10 mpaka 24
1.tunafanya counselling kwa mtu mmoja mmoja ofisini na majumbani(bure kabisa)
2.ushauri kwa vijana juu ya elimu ya afya ya uzazi
3. Tiba kwa magonjwa ya kujamiiana (bure)
4.tunafanya referral kwa wale wagonjwa wenye serius case kwenda muhimbili au hospitali zingine bure
5.ushauri kwa wanafunzi na wasio wanafunzi kuhusu madawa ya kulevya..bure
6.kutoa elimu kwa jamii kuhusu haki ya uzazi kwa vijana
7.kwa kushirikiana na viongozi wa serikali za mitaa na wadau wengine tunawasaidia wenye matatizo mbalimbali kama wahanga wa madawa ya kulevya kuletwa kituoni na kupatiwa tiba bure. SAM_1040.JPGSAM_1041.JPGSAM_1039.JPG

kama una mwanao, ndugu yako mwenye matatizo hayo tajwa hapo juu..tunaomba ushirikiano wenu mlete kituoni apate huduma hizi ni bure...tuokoe kizazi hiki na haya majanga
au kwa mawasiliano piga namba hizi tutakufikia kwa ushauri na tiba

0713555729
0754545586
tupo wazi jumatatu hadi jumamosi mwananyamala youth center karibu na hospital ya mwananyamala
myc tuna
madaktari wa akili
psychitric doctors
clinical doctors
medical doctors
counselors
wote watakuhudumia bure kabisa
 
Back
Top Bottom