Elections 2010 karibu nakamilisha hesabu ya kura

Mbunge wa CCM

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2009
Posts
475
Reaction score
25
yah,

dk chache zijazo itajulikana wazi, jimbo na idadi ya kura nilizoshinda, nina imani kubwa kuwa suti zangu zote mbili zitafanya kazi iliyokusudiwa. hadi sasa naongoza ktk kata 12 kati ya 22, na zilizobaki sina shaka hata kidogo...

. siku ya kuapishwa JK na sikuya kuapishwa kuwa mbunge

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
 
Hongera Mkuu.

Jimbo gani?
 
hongera mkuu lakini kata 10 zilizobaki si ndogo lolote laweza kutokea. let hope for the best. felicitation!
 
Chenge-vijisenti vipi jamani?
 
Yahaya husein hajafa bado??? alisema kama hafi mtu atakufa yeye
 
Back
Top Bottom