the bidhaa
JF-Expert Member
- Apr 4, 2022
- 268
- 761
Size.. futi ngapi kwa ngapi.KARIBUNI SANA WAKUU View attachment 2176201
futi 6×6 mkuu,hazipitishi maji na ni nzito kama zulia,karibu sana bosi nikuhudumieSize.. futi ngapi kwa ngapi.
Karib sana mkuuNimeipenda, nikija Dar nitakutafuta.
[emoji3][emoji3]mkuu karibu nikuhudumieAhsante kwa taarifa...
kama hii eti?Mi nikajua mikeka ya kubet
Zina himili mikikimikiki ya ze utamuz?futi 6×6 mkuu,hazipitishi maji na ni nzito kama zulia,karibu sana bosi nikuhudumie
Mkuu mi sio dalali ni mwenye biashara kabisa,na hiyo bei haina kipengele maana kariakoo wanauza hiyo mikeka elf 35 had 40 ila mi nmeamua kupunguzaMbona unawapiga hela ndefu hivyo..wewe ni dalali.
Inahimili kabisa mkuu,,karibu nikuhudumie[emoji39][emoji39]Zina himili mikikimikiki ya ze utamuz?
[emoji3][emoji3][emoji3]Mi nikajua mikeka ya kubet
Mkeka mmoja una futi 6×6 mkuu,, mkeka ni mzito na haupitishi maji kama zuliaTamdika chini upige picha,tuone vizuri ukubwa wake na uzuri wake,lakini chepesi?