INAUZWA Karibu nikuuzie mikeka laini ya kupumzikia, kulalia na hata kupatia chakula

Ila JF kuna aina flani ya ushamba au ulimbukeni. Hayo madude yanauzwa 12000/ hata huku vijijini sembuse huko kwenu daslama?
 
Mkuu unaijua mikeka unayoongelea lakini?,au umeamua kuandika tu Ili nawe uonekane unajua kukosoa?
 
Kama ni hiyo kwenye hizo picha niliijua kabla hujazaliwa labda uwe unaongelea mikeka ya mawe. Acheni kuibia watu kwanza mambo yatulie.
 
ukitaka kufua inafulikaje? lokesheni yako ipi
 
daah mkuu sio poa kuharibu ugali wa mtu hiyo ni roho ya kimaskini siupite kimya
 
ukitaka kufua inafulikaje? lokesheni yako ipi
linafulika vizur mkuu kwa kufuta kutumia kitambaa chenye maji maji au hata brashi halafu unaanika

Napatikana Dar es salaam Kigamboni

Karibu nikuhudumie
 
Kama ni hiyo kwenye hizo picha niliijua kabla hujazaliwa labda uwe unaongelea mikeka ya mawe. Acheni kuibia watu kwanza mambo yatulie.
Mkuu inapatkana wapi hii mikeka kwa hiyo bei uliyotaja ya 12000?,nisaidie location tu
 
Njoo ilyamchele chato....mingi mno ukitaka nikupe namba ya jamaa awe anakulanguza hata kwa 9000/. Uhakika
Sawa shukran,,mi mzigo nachkulia Uganda,,kuna gharama ya ushuru kwa kila mkeka,kusafirisha kila mkeka had Dar ndo maana bei inakua hiyo,Kariakoo hiyo mikeka inauzwa elf35 had 40,Mimi nauza 30elf.Hivyo unavyoharibu biashara yangu inaonekana ni jinsi gan ulivo na roho ya kwanini.
Bei haziwezi kulingana hata kidogo,ndo maana unaweza kuta parachichi 1 huko kwenu kijijin ni shiling 50 ila huku mjini parachichi ka hilo ni elf 1.Hivo punguza ujuaji wa usio wa lazima,Asante.
 
Ila JF kuna aina flani ya ushamba au ulimbukeni. Hayo madude yanauzwa 12000/ hata huku vijijini sembuse huko kwenu daslama?
Sasa ushamba wa Jf ni upi hapo?. Mwisho wa siku wewe ndio umeonyesha live ushamba wako. Itakuwa umevurugwa
 
Futi 6×6
JamiiForums-1371080732.jpg
 
Back
Top Bottom