Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Naona Mheshimiwa Rais wa JMT ameamua kumrudisha nyumbani Mwanasiasa nguli Emmanuel Nchimbi.
Nahisi kuna mabadiliko ya Baraza la Mawaziri siku si nyingi. Kama sio hivyo nahisi kuna mabadiliko yanakuja chamani CCM.
Nimtakie kila la kheri Komredi Emmanuel Nchimbi. Mwanasiasa wa kimkakati.