Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina maana ndio FDR!!?Makamu wa Rais wa mioyo ya watu
🤣🤣🤣🤣Komredi Chongolo ajiandae
Hatimae yametimiaUongozi ni kupokezana vijiti
Nyumbani kumenogaNaona Mheshimiwa Rais wa JMT ameamua kumrudisha nyumbani Mwanasiasa nguli Emmanuel Nchimbi.
Nahisi kuna mabadiliko ya Baraza la Mawaziri siku si nyingi. Kama sio hivyo nahisi kuna mabadiliko yanakuja chamani CCM.
Nimtakie kila la kheri Komredi Emmanuel Nchimbi. Mwanasiasa wa kimkakati.
🤣🤣Huyu na Ndumba anazijua,ila sema JK aliwakomesha kumkata jina Lowassa.