REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 2,293
- 8,231
True!Nchimbi hajui kuongea ni Domo zege huo u campaign manager alikuwa anafanyaje?
Kwa mara ya kwanza anagombea ubunge Songea Mjini akichukua nafasi ya Mzee Gama,sio tuu alikuwa hawezi kuongea Bali alikuwa anatetemeka hajui kujenga hoja na back those days alikuwa anasaidiwa na mkwe wake yaani Mzee Makamba.
Nafahamu vizuri huyo mtu ni looser tuu.
Miaka yote kakaa Brazil wenzie wanatengeneza connection za Diplomasi ya uchumi yeye yupo yupo tuu kama furushi,kiufupi huyo anatembelea Nyota ya ukoo hana lolote.
Jamaa alifeli school akaenda morogoro kula Forest Hill, ndio chimbuko la vilaza kama January Makamba, Sofia Simba na wengine.