Karibu nyumbani Balozi Emmanuel Nchimbi

Karibu nyumbani Balozi Emmanuel Nchimbi

Humjui Kinana. Endelea kumuona ivo ivo tu.

Muulize Absalom Kibanda, Who is Kinana? Aliwahi kupandisha uzi humu back in those days where JF was JF
Narudia tena huyo unayemsifia jeuri yake ni anapokuwa kwenye madaraka. Unakumbuka Magufuli alivyomfanya kama mtoto? Mbona alinywea? Unasifia watu wanaotegemea vyombo vya dola kufanya siasa?
 
Thubutu, kwa JPM wote walinyweha.....
Screenshot_20230811_223204_Chrome.jpg
 
Huyo JPM alirudisha mpira kwa kipa kwa Kinana. Huyo mtu msikie tu
 
Hujui lolote wewe..labda kufanya kazi ya mkia hii unayofanya hapa..
Kwa umri huo alio nao option yenye afya kwake ni retirement, sasa mtu asiyetambua kinachomfaa kulingana na umri alionao ni wa kumhurumia..
 
Thubutu, huyo alijisalimisha mwenyewe, na kwakuwa Magufuli alijua huyo Kinana ni kundi la JK, akawa anawasogeza maadui zake karibu. Ni kama alikuwa anajaribu kupunguza maadui, hivyo hao waliokuwa wanakubali kumsujudia shetani aliwapa fahari ya dunia.
 
Huyo kila siku anastaafu ila wanamrudisha kwa nguvu. Ni moto wa kuotea mbali. Sehemu nyingine duniani ndo wanaitwaga Deep State!

Kubali tu kuwa hiyo ni resource iliyokuwa groomed na muasisi wa Taifa hili Mwl. Nyerere. Ni mmoja kati ya vijana smart sana waliotolewa Jeshini na kuingizwa kwenye Chama kwa sababu maalum.
 
Thubutu, huyo alijisalimisha mwenyewe, na kwakuwa Magufuli alijua huyo Kinana ni kundi la JK, akawa anawasogeza maadui zake karibu. Ni kama alikuwa anajaribu kupunguza maadui, hivyo hao waliokuwa wanakubali kumsujudia shetani aliwapa fahari ya dunia.
Rejea uzi wa Absalom Kibanda wa mwaka 2012. Najua ulikuwa mtoto sana kipindi icho.

Kinana sio wa kawaida
 
JPM ndo alijisalimisha kwake na kuomba yaishe
 
Rejea uzi wa Absalom Kibanda wa mwaka 2012. Najua ulikuwa mtoto sana kipindi icho.

Kinana sio wa kawaida
Wakati huo kinana alikuwa akitamba kwani alikuwa kwenye madaraka. Unapokuwa na madarakani kwa nchi hii ni rahisi kuonekana ni madhubuti.
 
Endelea kubisha. Ndo kipaji chako hicho
 
Naona Mheshimiwa Rais wa JMT ameamua kumrudisha nyumbani Mwanasiasa nguli Emmanuel Nchimbi.

Nahisi kuna mabadiliko ya Baraza la Mawaziri siku si nyingi. Kama sio hivyo nahisi kuna mabadiliko yanakuja chamani CCM.

Nimtakie kila la kheri Komredi Emmanuel Nchimbi. Mwanasiasa wa kimkakati.
Vipi bado ni team Edo?
 
Back
Top Bottom