Karibu nyumbani Balozi Emmanuel Nchimbi

Karibu nyumbani Balozi Emmanuel Nchimbi

Kwenye kujenga hoja Nchimbi yuko vizuri sana.

Nakupa ubuyu. Kwenye kundi la Wanamtandao hakuwepogi mjinga hata mmoja. Kila mtu ni smart kwenye eneo lake
Smart against who..kutumia dola kuharibu uchaguzi ndio kuwa smart? sio ajabu lakini kipofu kusifia ukubwa wa tembo ni kwa sabab hana uwezo wa kuona..ndio wewe, akili yako ni nyepesi km piece of toilet paper ndio maana unabwabwaja tu na kufanya kazi ya mkia!
 
Naona Mheshimiwa Rais wa JMT ameamua kumrudisha nyumbani Mwanasiasa nguli Emmanuel Nchimbi.

Nahisi kuna mabadiliko ya Baraza la Mawaziri siku si nyingi. Kama sio hivyo nahisi kuna mabadiliko yanakuja chamani CCM.

Nimtakie kila la kheri Komredi Emmanuel Nchimbi. Mwanasiasa wa kimkakati.
Ukute ndo anayepanga mapinduzi karudishwa kufunzwa adabu
 
Kinana "strategic planning" Harvard...
Na bado nyumbu wanamchukulia poa Sana . ..
Watu wasiomjua Kinana ndo wanaweza Fanya mistake ya kumchukulia poa...
Mkapa kampeni alianza na Paul Sozigwa ..ikabidi wam replace haraka akaletwa Kinana....and the rest is history...
Hata Samia kama unakumbuka mkutano wa Kwanza na Mbowe alikuwa peke yake...halafu next meeting akaja Kinana...and the rest is history....😅
Havard una miaka 60 inakusaidia nini..unaelewa unachoongea?
 
Ukisoma mistari ya lord denning utagundua mambo kadhaa..
1. Wengi kwenye think tank ya ccm na nchi ni under age kulingana na kazi za nafasi hizo.
2. Wanaishi kwa kufanya uchawa
3. Wengi ni limbukeni.. nk
Huyu nchimbi anaweza sifiwa kwenye kundi la wajinga kiuhalisia wanaomfahamu toka akiwa uvccm hana substance yoyote!
 
Changamoto ambayo chama kinatakiwa kupambana nayo ni mabadliko katika fikra za wananchi kuendana na zama hizi ambazo teknolojia na upashanaji wa habari vipo juu.
Kipindi Cha nyuma ilikuwa rahisi kutumia propaganda hata za kijingajinga kuwaghilibu wananchi, kwa sasa kuna ugumu kidogo.
Fikra za kizamani za viongozi kujiona miungu watu na wafuasi kuamini hivyo, hazina tena nafasi, badala yake ushirikishwaji wa watu wenye fikra na hoja zenye mantiki iwe ndiyo msingi wa kujenga chama.
 
Ulikuwa bado unanuka maziwa piga chini.
Narudia tena huna ulijualo.
Mimi najua mipango ya Jakaya kuingia Ikulu ilianza tangu around 1991, miaka 14 baadaye hakuna aliyemzuia kuingia Ikulu. Unadhani ni rahisi? Kamuulize Lowasa na Membe.

Kinana ni miongoni mwao vichwa hodari vya Kennedy School of Governance amabye kwa nafasi alizoshika, yahitaji uwe taahira ili usijue umakini wa huyo jamaa kwenye mikakati yake. Namalizia kwa kurudia tena huna ulijualo.
 
Changamoto ambayo chama kinatakiwa kupambana nayo ni mabadliko katika fikra za wananchi kuendana na zama hizi ambazo teknolojia ya habari.
Changamoto kubwa ni ujinga tu, sio zaidi ya hapo. CCM waongeze nguvu za kujenga shule bora na kuwapa motisha walimu.
 
Narudia tena huna ulijualo.
Mimi najua mipango ya Jakaya kuingia Ikulu ilianza tangu around 1991, miaka 14 baadaye hakuna aliyemzuia kuingia Ikulu. Unadhani ni rahisi? Kamuulize Lowasa na Membe.

Kinana ni miongoni mwao vichwa hodari vya Kennedy School of Governance amabye kwa nafasi alizoshika, yahitaji uwe taahira ili usijue umakini wa huyo jamaa kwenye mikakati yake. Namalizia kwa kurudia tena huna ulijualo.
Taja mwaka aliokwenda Kennedy school of governance..shule una miaka above 60 inaweza kukusaidia wewe binafsi lakini si jamii..elewa kijana.
 
Ukisoma mistari ya lord denning utagundua mambo kadhaa..
1. Wengi kwenye think tank ya ccm na nchi ni under age kulingana na kazi za nafasi hizo.
2. Wanaishi kwa kufanya uchawa
3. Wengi ni limbukeni.. nk
Huyu nchimbi anaweza sifiwa kwenye kundi la wajinga kiuhalisia wanaomfahamu toka akiwa uvccm hana substance yoyote!
Kwani mimi ndo kipimo?

Mimi ni nani huko ccm?
 
Naona Mheshimiwa Rais wa JMT ameamua kumrudisha nyumbani Mwanasiasa nguli Emmanuel Nchimbi.

Nahisi kuna mabadiliko ya Baraza la Mawaziri siku si nyingi. Kama sio hivyo nahisi kuna mabadiliko yanakuja chamani CCM.

Nimtakie kila la kheri Komredi Emmanuel Nchimbi. Mwanasiasa wa kimkakati.
Wenye Ccm yao hao.
 
Tanzania kuna wana mikakati makini watatu tu, nao ni

1. Abdulrahman Kinana
2.Jakaya Kikwete
3. Emmanuel Nchimbi
Hamna mwanamikakati yoyote hapo, wote hao mbeleko ya vyombo vya dola ndio akili yao ilipo. Usitake kumpa sifa za kijinga.
 
Naona Mheshimiwa Rais wa JMT ameamua kumrudisha nyumbani Mwanasiasa nguli Emmanuel Nchimbi.

Nahisi kuna mabadiliko ya Baraza la Mawaziri siku si nyingi. Kama sio hivyo nahisi kuna mabadiliko yanakuja chamani CCM.

Nimtakie kila la kheri Komredi Emmanuel Nchimbi. Mwanasiasa wa kimkakati.
Hana lolote huyo mtu wa rostam aziz. Ni mtafuta ukuu tu na mwenye mikakati ya kifisadi tupu. Alikua miongoni mwa wafuasi wakuu wa kundi la lowassa. Inaonekana samia anawapanga wanamkakati fisadi hawa kumpigania madaraka.
 
Ukisoma mistari ya lord denning utagundua mambo kadhaa..
1. Wengi kwenye think tank ya ccm na nchi ni under age kulingana na kazi za nafasi hizo.
2. Wanaishi kwa kufanya uchawa
3. Wengi ni limbukeni.. nk
Huyu nchimbi anaweza sifiwa kwenye kundi la wajinga kiuhalisia wanaomfahamu toka akiwa uvccm hana substance yoyote!
Uko sahihi kabisa, huwa nashangaa huyo jamaa akisifiwa eti ni mwanamikakati mzuri. Lakini mwisho wa siku vyombo vya dola ndio tegemeo lao.
 
Humjui Kinana. Endelea kumuona ivo ivo tu.

Muulize Absalom Kibanda, Who is Kinana? Aliwahi kupandisha uzi humu back in those days where JF was JF
JPM alimnyoosha yeye na kina Makamba, wakabaki kimya.
 
Back
Top Bottom