Karibu nyumbani Balozi Emmanuel Nchimbi

Karibu nyumbani Balozi Emmanuel Nchimbi

Basi ndio maana tunakwama Daily kama hawa wapumbavu ndio wana mikakati wa nchi hii.Mikakati ya kishenzi shenzi.

Nyerere and the team (yake) ndio walikua wana mikakati.Tena katika global perspective..Mtu anaratibu mikakati ya kupandikza marais nchi za Afrika masharik, maziwa makuu mpaka baadhi ya nchi za SADC kwa maslahi mapana ya TZ kiusalama na uchumi.

Wewe unatutajia Malaya wako watatu hao waliozeeka kiakil mpaka fikra eti ndio wana mikakati .Mikakati ya kuuza nchi?

Wangese wote hao uliowataja
Hiyo Mikakati ya Nyerere, waliokuwa wanamsaidia kupanga ndio hawa kina Kanali Kinana, Bregadier Hashim Mbita, Augustine Mahiga, n.k, Huyu Kinana kuna maeneo aliingia front na Silaha kupambana hadi kuwawekea mifumo ya utawala wale Frelimo ambao hadi leo mambo yao yanaenda
 
NDio maana Nyerere atabaki kuwa mwanamikakati hawa walikua just implementation tools and executioners they had no vision ile fully of what they were being told to do.
Probably walikua walikua wanaambiwa tu "i want this to be this way,so guys find a way to execute".
Ndio maana mwenye mikakati yake alipokaa kando na wao ndio wako kwenye power unaona ni namna gani walivyo wajinga wanauza nchi
 
Huyo Kinana hapo katengenezwa na huyo huyo Nyerere. Kwa CCM ya sasa ukimuondoa Kikwete hakuna anayezijua na kuzimudu Geopilitics kama huyo Kinana.

Wakati JK kapishana na Kagame, huyo ndo kiongozi Mtanzania pekee aliyekuwa anaweza kwenda Rwanda analala Rwanda na kukutana na Kagame na kuzungumza.

Kinana msikie tu!
Nyerere angekua mbinafsi wa kutoangalia mbali asingewatengeneza...

Wao wanamtengeneza nani au ndio wanajilipa mapemaa kwa kuuza nchi wakijua fika hawana maisha marefu watuache kwenye majanga kwa kutuingiza kwenye mikataba ya kichoko kama hii kana kwamba hawajui nchi hii imetoka wapi?
 
Naona Mheshimiwa Rais wa JMT ameamua kumrudisha nyumbani Mwanasiasa nguli Emmanuel Nchimbi.

Nahisi kuna mabadiliko ya Baraza la Mawaziri siku si nyingi. Kama sio hivyo nahisi kuna mabadiliko yanakuja chamani CCM.

Nimtakie kila la kheri Komredi Emmanuel Nchimbi. Mwanasiasa wa kimkakati.
Hakuna unguli wowote zaidi ya uchawi!
 
NDio maana Nyerere atabaki kuwa mwanamikakati hawa walikua just implementation tools and executioners they had no vision ile fully of what they were being told to do.
Probably walikua walikua wanaambiwa tu "i want this to be this way,so guys find a way to execute".
Ndio maana mwenye mikakati yake alipokaa kando na wao ndio wako kwenye power unaona ni namna gani walivyo wajinga wanauza nchi
kwani .mikakati maana yake nini?

Wewe ni miongoni mwa wajinga mnaoshindwa kutofautisha kati ya Inteligence na Integrity

Hata Tapeli ni Intelligent ila hana Integrity …
 
kwani .mikakati maana yake nini?

Wewe ni miongoni mwa wajinga mnaoshindwa kutofautisha kati ya Inteligence na Integrity

Hata Tapeli ni Intelligent ila hana Integrity …
KUa mpole mkuu usipaniki.Sijataka hata kufika huko kwwnye intelligence na intergrity zako..Niko kwenye Strategies...maana hata tapeli anatangulia kwanza kuwa strategist
Katika kuweka mikakati sasa ndio tunakuja ku consider intelligence kisha integrity kuhusu mikakati husika..usirukie 3 kabla ya 1 na 2.

Halaf huna haja ya kuniita mjinga ila una nafasi ya kunitoa ujinga.Act smart brother
 
Mtu kuwa smart kwny mikakati anapimwa kwa kufikia kwake malengo

hakuna mkakati bora kama umeshindwa kufikia lengo

Kinana na Jk tunawaita wana .mikakati bora kwa kuwa wamefikia malengo yao ya kisiasa na kiuchumi kwa asilimia kubwa (sio zote)

Hata Nyerere tunamwita Mwana mikakati mzuri lakini tunajua malengo ya Ujamaa hayakufikiwa na hata wale maadui watatu aliopigana nao Maradhi, Ujinga na Umaskini walimshinda

Mjinga si tusi, ni Mtu asieelewa jambo au muktadha wa hoja …kuamini ukiiitwa Mjinga umetukanwa ni ujinga pia

kama kuna uwezekano wa kukutoa ujinga inakuaje ukatae kuitwa Mjinga, ni sawa nikiri Napaswa kutolewa maradhi halafu nikatae kuitwa mgonjwa
 
Nchimbi hajui kuongea ni Domo zege huo u campaign manager alikuwa anafanyaje?

Kwa mara ya kwanza anagombea ubunge Songea Mjini akichukua nafasi ya Mzee Gama,sio tuu alikuwa hawezi kuongea Bali alikuwa anatetemeka hajui kujenga hoja na back those days alikuwa anasaidiwa na mkwe wake yaani Mzee Makamba.

Nafahamu vizuri huyo mtu ni looser tuu.

Miaka yote kakaa Brazil wenzie wanatengeneza connection za Diplomasi ya uchumi yeye yupo yupo tuu kama furushi,kiufupi huyo anatembelea Nyota ya ukoo hana lolote.
Hii nchi kwa kusifia Wahuni,sasa Nchimbi ana akili gani kuzidi akina Dr Philip Mangula!
 
Kwenye kujenga hoja Nchimbi yuko vizuri sana.

Nakupa ubuyu. Kwenye kundi la Wanamtandao hakuwepogi mjinga hata mmoja. Kila mtu ni smart kwenye eneo lake
Huo Mtandao si ndiyo uliyumbisha nchi;ni katika kipindi chao Tanzania ilikuwa uchochoro wa kupitisha Madawa ya kulevya,ujambazi ulishamili,ufisadi wa kutisha serikalini nk.
Punguza hadithi za kitoto basi!
 
Nchimbi hajui kuongea ni Domo zege huo u campaign manager alikuwa anafanyaje?

Kwa mara ya kwanza anagombea ubunge Songea Mjini akichukua nafasi ya Mzee Gama,sio tuu alikuwa hawezi kuongea Bali alikuwa anatetemeka hajui kujenga hoja na back those days alikuwa anasaidiwa na mkwe wake yaani Mzee Makamba.

Nafahamu vizuri huyo mtu ni looser tuu.

Miaka yote kakaa Brazil wenzie wanatengeneza connection za Diplomasi ya uchumi yeye yupo yupo tuu kama furushi,kiufupi huyo anatembelea Nyota ya ukoo hana lolote.
Duh! mbona unamsagia kunguni comred wetu[emoji848][emoji848]
 
Namheshimu sana Nchimbi.

Mwanamikakati hodari. Lakini si mikakati mizuri kwa nchi bali kwa chama

Hangaya ameshaona mbele giza wacha awatumie komrades wa aina hii
tanzania hatuna mikakati zaidi ya rushwa kama tungekuwa na mikakati tungekuwa zaidi ya dubai sasa hivi
 
Back
Top Bottom