Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Namheshimu sana Nchimbi.Naona Mheshimiwa Rais wa JMT ameamua kumrudisha nyumbani Mwanasiasa nguli Emmanuel Nchimbi.
Nahisi kuna mabadiliko ya Baraza la Mawaziri siku si nyingi. Kama sio hivyo nahisi kuna mabadiliko yanakuja chamani CCM
Nimtakie kila la kheri Komredi Emmanuel Nchimbi. Mwanasiasa wa kimkakati.
Amerudi kuchukua nafasi ya Katibu Mkuu wa CCM. Maana aliyepo ni kama uji ulio poa halafu hauna sukari.Naona Mheshimiwa Rais wa JMT ameamua kumrudisha nyumbani Mwanasiasa nguli Emmanuel Nchimbi.
Nahisi kuna mabadiliko ya Baraza la Mawaziri siku si nyingi. Kama sio hivyo nahisi kuna mabadiliko yanakuja chamani CCM
Nimtakie kila la kheri Komredi Emmanuel Nchimbi. Mwanasiasa wa kimkakati.
Anti JK, pro Lowassa.Naona Mheshimiwa Rais wa JMT ameamua kumrudisha nyumbani Mwanasiasa nguli Emmanuel Nchimbi.
Nahisi kuna mabadiliko ya Baraza la Mawaziri siku si nyingi. Kama sio hivyo nahisi kuna mabadiliko yanakuja chamani CCM
Nimtakie kila la kheri Komredi Emmanuel Nchimbi. Mwanasiasa wa kimkakati.
Chama la mazuzuNaona Mheshimiwa Rais wa JMT ameamua kumrudisha nyumbani Mwanasiasa nguli Emmanuel Nchimbi.
Nahisi kuna mabadiliko ya Baraza la Mawaziri siku si nyingi. Kama sio hivyo nahisi kuna mabadiliko yanakuja chamani CCM
Nimtakie kila la kheri Komredi Emmanuel Nchimbi. Mwanasiasa wa kimkakati.
Tanzania kuna wana mikakati makini watatu tu, nao niNamheshimu sana Nchimbi.
Mwanamikakati hodari. Lakini si mikakati mizuri kwa nchi bali kwa chama
Hangaya ameshaona mbele giza wacha awatumie komrades wa aina hii
Alikuwa Balozi MisriAlikuwa wapi
Uongozi ni kupokezana vijitiKomredi Chongolo ajiandae
Jasusi m-bobezi anarudi ,huyu kakulia mikononi mwa lowasa na kikwete na mkapa kiasa na kikazi ngoja tuoneAlikuwa wapi
Ilikuwa patashika nguo kuchanikaHuyu na Ndumba anazijua,ila sema JK aliwakomesha kumkata jina Lowassa.