Karibu nyumbani Balozi Emmanuel Nchimbi

Damu ya Mwangosi itaendelea kumlilia hadi mwisho
 
Hivi huyu bwana Huwa mnampa airtime kubwa hivi unguli wake Huwa ni upi hasa?
 
Wasira analazimisha tu. Timu yenyewe ndo inaundwa sasa.
 
Tanzania kuna wana mikakati makini watatu tu, nao ni

1. Abdulrahman Kinana
2.Jakaya Kikwete
3. Emmanuel Nchimbi
Kwa mujibu wa akili yako au?? Mi huwa nashangaaga sana watu kama huyu anayecomment kwamba hao ni wana mikakati. Wakatibwote rekodi zao ni failures.

Kinana na Kikwete chama kiliwafia mkononi 2015..walishindwa kukiendesha chama na nchi na walishindwa kuwaweka pamoja wanaccm.

Huyo Kinana alicheza vibaya kete zake ye na kina Kingunge. Akaongoza mapinduzi mbele ya mwenyekiti wake kikwete wakati huo.

Sijui kama ye na kikwete kwa sasa wanakaa meza moja.
 
Hivi huyu bwana Huwa mnampa airtime kubwa hivi unguli wake Huwa ni upi hasa?
Ogopa sana watu wanaopewaga nafasi ya Campaign Manager pale CCM

Anzia na kinana aliyekuwa Campaign Manager wa Mkapa, Kikwete na akaja kumuingiza Magufuli 2015 na huyu Nchimbi aliyekuwa Campaign Manager wa Lowassa kipindi anafanya vuguvugu CCM.

Raised by Mtandao to take mikoba ya Kinana. The Master of Tz Politics
 
Humjui Kinana. Endelea kumuona ivo ivo tu.

Muulize Absalom Kibanda, Who is Kinana? Aliwahi kupandisha uzi humu back in those days where JF was JF
 
Nchimbi hajui kuongea ni Domo zege huo u campaign manager alikuwa anafanyaje?

Kwa mara ya kwanza anagombea ubunge Songea Mjini akichukua nafasi ya Mzee Gama,sio tuu alikuwa hawezi kuongea Bali alikuwa anatetemeka hajui kujenga hoja na back those days alikuwa anasaidiwa na mkwe wake yaani Mzee Makamba.

Nafahamu vizuri huyo mtu ni looser tuu.

Miaka yote kakaa Brazil wenzie wanatengeneza connection za Diplomasi ya uchumi yeye yupo yupo tuu kama furushi,kiufupi huyo anatembelea Nyota ya ukoo hana lolote.
 
Kwenye kujenga hoja Nchimbi yuko vizuri sana.

Nakupa ubuyu. Kwenye kundi la Wanamtandao hakuwepogi mjinga hata mmoja. Kila mtu ni smart kwenye eneo lake
 
Ukipitia hii orodha ya mabalozi utagundua pattern fulani uwakilishi za Kiislamu na nyinginezo
 

Hizi ni chuki binafsi.
 
Karibu Nchimbi, karibu sana.
 

Attachments

  • IMG-20230811-WA0018.jpg
    76.8 KB · Views: 2
  • IMG-20230811-WA0017.jpg
    59.7 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…