Wauzaji wa containers
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 615
- 1,443
- Thread starter
-
- #141
Fafanua kidogo. La kisasa linakuaje ndugu muuzaji?Mnakaribishwa kujichukulia konteina zuri na la kisasa piga namba hapo juu au tuma ujumbe kupitia WhatsApp
View attachment 3124395
Fafanua kidogo. La kisasa linakuaje ndugu muuzaji?
Kigezo gani kitatumika kujua hiyo grade?Quality -ubora mzuri
Condition - hali nzuri halivuji na bado linaweza kutumika katika matumizi mbali mbali Kama duka , store n.k
Kuanzia Grade A hadi grade C containers zote zina hali nzuri.
Kuhusu bei containers 20 feet
Grade A Kwa sasa ni 4.2 M
Grade B 4.M
Grade C 3.8 M
Karibu
Call us -0625085224 kwa maelezo zaidi au maelezo ya zaida.