Karibu ofisini kwetu ujipatie Makonteina bora na ya kisasa

Karibu ofisini kwetu ujipatie Makonteina bora na ya kisasa

Mkuu weka na beiya kila grade, tujipange ama tuchukue hatua ya manunuzi.

Japo bei huwa zinashuka na muda mwingine kupanda Ila Kwa sasa bei za futi 20 zipo Vivi

Grade A utapata Kwa 4.5
Grade B utapata Kwa 4.3
Grade C utapata Kwa 3.9-3.8


Grade D hizi zimebaki mbili tu Kwa sasa utapata Kwa 3.6
 
Available 20ft and 40 ft
 

Attachments

  • IMG-20241027-WA0002.jpg
    IMG-20241027-WA0002.jpg
    91.2 KB · Views: 3
Sisi watanzania tu a mapungufu kadhaa kwenye shughuli zetu za kila siku. Hatuwi serious na kile tunachofanya.

Mfano wewe ni Muuzaji wa makontena sijui una uzoefu kiasi gani lakini unapaswa kukijua kitu nje ndani.

Kabla Mteja hajauliza wewe unakua tayari unajua gharama ya kusafirisha angalau hata kwa makadirio tu.

Sasa anakuuliza wewe unauliza tena et 20 kwa 40?

Kwanini hujui bei ya kusafirisha kwa aina zote za makontena?..Kwa nini hujui magari au kampuno gani zinaweza kusafirisha na destination zipi?

Unapaswa kutwambia mtu akinunua Dar kwenda Tabora inaweza kumgharim mathalani laki tano. Akienda Mbeya mathalani laki 6. Na ukampa na connection namna ya kusafirisha kw urahisi. Hapa watu wana hamu ya kununua lakini wanapata wasi wasi namna ya kuwafikia.
Wewe ni mpuuzi sana aisee na bila shaka haujawahi kufanya biashara yeyote ile hivi kwa akili yako unadhani kusafirisha mizigo kwamba kuna bei iliyoganda kama kondom tu? Hivi kwanini munakuwa wajuaji kiasi hiki wajinga ninyi?
 
Ili kupata wateja wengi mngetumia free delivery au share cost ya deliver kwa sababu watu wengi wanaogopa gharama za usafiri...


Asante Kwa ushauri Ila hilo swala tumeshalifanyia kazi Muda mrefu.

Kwa sasa hatuna free delivery kwakuwa container huwa tunatoa punguzo Fulani , Ila ikiwa UPO mbali mfano Dodoma , mbeya n.k huwa tunatafuta MTU mwenye mzigo na MTU mwenye konteina Mna share costs. Ili kupunguza gharama

Karibu Sana .
 
Wewe ni mpuuzi sana aisee na bila shaka haujawahi kufanya biashara yeyote ile hivi kwa akili yako unadhani kusafirisha mizigo kwamba kuna bei iliyoganda kama kondom tu? Hivi kwanini munakuwa wajuaji kiasi hiki wajinga ninyi?
Ona sasa unawaza kondomu😅😅😅
 
Kuna grade D

Inapatikana kwa mil 3.6

Karibu Sana ujipatie container hii Kwa bei ya Mil 3.6

Waweza kuja ofisini kwetu kurasini Dar es Salaam .
 

Attachments

  • IMG-20241026-WA0012.jpg
    IMG-20241026-WA0012.jpg
    83.7 KB · Views: 4
Grade D only 3.6 mil


Call &WhatsApp 0625 085 224
 

Attachments

  • IMG-20241026-WA0010(1).jpg
    IMG-20241026-WA0010(1).jpg
    361.3 KB · Views: 5
Inaptikana Kwa mil 6

Futi 40

Tupo kurasini DSM


Call & WhatsApp0625 085 224
 

Attachments

  • IMG-20241024-WA0002.jpg
    IMG-20241024-WA0002.jpg
    48.8 KB · Views: 5
Mzigo mpya huu futi 40

Konteina zipo za grade

Grade A
Grade B
Grade C
 

Attachments

  • IMG-20241027-WA0003.jpg
    IMG-20241027-WA0003.jpg
    79.9 KB · Views: 5
Back
Top Bottom