Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naweza pata contena dogo dogo hiv la bei ya chini kabisa?
Mkuu yule mzee wangu niliekuja nae ofisin j. 3 jana kanitumia 20K kanambia konteina alilochukua liko powah
Ushauri endelea na uaminifu utapata Sana wateja
Sisi ni wauzaji wa Makonteina bora na ya kisasa.
Tuna makonteina Ft 20 na Ft 40.View attachment 3123216
Futi 20 na Futi 40 zipo Kwa grade kuna
👇🏾
Grade A:
Grade B:
Grade C:
Tupo kurasini DSM
Mawasliano :
0625 085 224 -normal call &_WhatsApp
Karibuni Sana.
Acheni ujanja ujanja, tajeni bei hapa tuzijue sio kwenda kupiga watu inbox.
Kuna ambalo limepatikana kwa 3.6 millionNaweza pata contena dogo dogo hiv la bei ya chini kabisa?
Mkuu weka na beiya kila grade, tujipange ama tuchukue hatua ya manunuzi.Sisi ni wauzaji wa Makonteina bora na ya kisasa.
Tuna makonteina Ft 20 na Ft 40.View attachment 3123216
Futi 20 na Futi 40 zipo Kwa grade kuna
👇🏾
Grade A:
Grade B:
Grade C:
Tupo kurasini DSM
Mawasliano :
0625 085 224 -normal call &_WhatsApp
Karibuni Sana.
Sema hapa hapa, mfano kutoka hapo kurasini mpaka mbagala ni bei ya mteja au kampuni...n.kUtatupigia kaka tutaongea vizuri ukiwa tayari .