Sisi watanzania tu a mapungufu kadhaa kwenye shughuli zetu za kila siku. Hatuwi serious na kile tunachofanya.
Mfano wewe ni Muuzaji wa makontena sijui una uzoefu kiasi gani lakini unapaswa kukijua kitu nje ndani.
Kabla Mteja hajauliza wewe unakua tayari unajua gharama ya kusafirisha angalau hata kwa makadirio tu.
Sasa anakuuliza wewe unauliza tena et 20 kwa 40?
Kwanini hujui bei ya kusafirisha kwa aina zote za makontena?..Kwa nini hujui magari au kampuno gani zinaweza kusafirisha na destination zipi?
Unapaswa kutwambia mtu akinunua Dar kwenda Tabora inaweza kumgharim mathalani laki tano. Akienda Mbeya mathalani laki 6. Na ukampa na connection namna ya kusafirisha kw urahisi. Hapa watu wana hamu ya kununua lakini wanapata wasi wasi namna ya kuwafikia.