Karibu ofisini kwetu ujipatie Makonteina bora na ya kisasa

Karibu ofisini kwetu ujipatie Makonteina bora na ya kisasa

Karibu ofisini waweza kutupigia simu au kututumia ujumbe WhatsApp

Kuna discount (punguzo) kwa makonteina ya futi 40.

0625 085 224
IMG-20241014-WA0009.jpg
 
Karibu -kuna discount katika makonteina ya Futi 40 na pia katika makonteina ya futi 20 IPO punguzo kwa makonteina grade c.

Karibu Sana
 
Wale mliokuwa mnahitaji konteina grade C mtapata Kwa bei ya punguzo kwa Million 3.9 badala ya million 4

Karibu Sana tupigie 0625 085 224 au WhatsApp .
 
Pia tunawashukuru wateja mnaondelea kuja ofisini na kujipatia konteina .

Tutaendelea kuwapatia huduma bora kwa bei rafiki ili kila mmoja anayehitaji konteina apate konteina lake pasipo usumbufu na Kwa gharama nafuu
 
Hii thread ni muhimu sana kwangu ngoja niipoge bookmark kwanza
 
Mbona hujaweka bei au ww ni dalali?
Hapana mkuu bei zipo

Unahitaji konteina za ukubwa gani kuna futi 20 na futi 40

Futi 20

Grade A 4.5 Million
Grade B 4.3 million
Grade C 4.. Million

Ila ukinunua grade C kuna punguzo badala ya 4 million utapata Kwa 3.9

Karibu , napatikana kurasini Dsm.

Waweza nipigia au kunitumia ujumbe mfupi WhatsApp Kwa namba 0625 085 224
 
Bei za ft 40?
 
Back
Top Bottom