Tumepata mteteziJiji litachangamka
Kunyweeeeeeniiiiiiii biaaaaaaaaaTumepata mtetezi
Tatizo ametetea pombe zaidi badala ya kelele
Huyu jamaa Kaletwa kwa makisudi hiyo tu
Apambane na NEMC sijui ?
Acha tuone kama kina msukuma ndio wamesukuma haya ili aje kuendeleza ujinga na kelele za usiku na mchana
[emoji1] [emoji1787] eti kinga ya mwili zinashuka
Ila mwambieni kelele hatutaki akilewa akalale
tuache [emoji2]Ile kampeni ya kupunguza makelele kwenye baa za uswahilini sijui kama zitaendelea maana walevi wamepata mtetezi mlevi mwenzao.
Hata hivyo sijawaowa.tuache [emoji2]