Karibu sana Chalamila Dar es Salaam, sisi wanywaji wa bia tunakuunga mkono

Karibu sana Chalamila Dar es Salaam, sisi wanywaji wa bia tunakuunga mkono

Mioyo yetu iko kwake. Bia ina mchango mkubwa kwe uchumi. Nyerere aliwaomba makasisi, watumishi na vioongozi wa dini kunywa bia baada ya vita vya Iddi Amini / Uganda li kuokoa uchumi
Wacha sasa tuanze kuzitandika gambe mimi kama kawaida nipo na castle lager kuubwa sifuati mkumbo
 
Jamaa anakwambia walokole waliwahi kwenda kwake kulalamika bar zinawapigia kelele, nae akawaambia hata walevi nao waliwahi kuja kwangu kulalamika mnawapigia kelele kwa mikesha yenu!.

Mwishowe akairudisha kesi kwao, yeyote anayeweza kumbadilisha mwenzie na afanye hivyo, kama mlokole ukiweza kumshawishi mlevi aache pombe kazi kwako, na kama mlevi ukiweza kumshawishi mlokole akufuate bar shwari tu..

Chalamila ni genious.
Hapo sasa
 
Sisi wakaazi wa jiji la Dar es Salaam tupo tayari kukupokea na kukupa ushirikiano ndugu Chalamila.

Wana Dar es salaam tunaweza kuchangia mapato ya Serikali kwa kiulaini sana kupitia kupiga tungi a.k.a gambe. Unaonyesha utaiweza sana Dar es Salaam kwani wana Dar wengi wao ni wanachama wenzako na wanafuata falsafa zako za kunywa sana bia.

Karibu sana mwenyekiti mtaafu wa CCM.

Namnukuu,

SISI WANAUME NI WAWOTE🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓
In chalamila voice
 
Wacha kila mtu ajipendelee kwa kila anacho ona kinamfaa
Nimeshasema hilo ila unatakiwa kujua huna haki ya kukera wengine eti kwa kuwa wewe unapata furaha,furaha yako sio furaha ya kila mtu.
 
Nimeshasema hilo ila unatakiwa kujua huna haki ya kukera wengine eti kwa kuwa wewe unapata furaha,furaha yako sio furaha ya kila mtu.
Pole sana ndugu yetu sie ndiyo twagonga mvinyoooo
 
Back
Top Bottom