Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
- Thread starter
- #21
Wacha sasa tuanze kuzitandika gambe mimi kama kawaida nipo na castle lager kuubwa sifuati mkumboMioyo yetu iko kwake. Bia ina mchango mkubwa kwe uchumi. Nyerere aliwaomba makasisi, watumishi na vioongozi wa dini kunywa bia baada ya vita vya Iddi Amini / Uganda li kuokoa uchumi