Karibu sana Jangwani Sekhwela Seroto, Mtaalam wa Tiba ya Viungo (Physiotherapist)

Hawa ma physiotherapist hata hapo KCMC wanapatikana kwa wingi tena vijanq wana mpaka basics za physical fitness za JKT kwanini hatuthamini vya kwetu?

Mfano Azam idara ya afya wazungu wote
Wao hao ma Physio wanasemaje!?je wamekuwa wakiomba hizi nafasi!? au wanangoja ziwafate,maana hata kwenye debate shuleni walilazimishwa kuongea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…