Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Karibu Tanga Bi Mkubwa, hapa ndio nyumbani nyumbani kwa wadigo na wabondei, hapa ndio nyumbani kwa wasambaa na wazigua.
Karibu Tanga kwasababu ina watu wasiojua vurugu, ina watu wasiopenda shari na ina watu wakweli, karibu tanga kwasababu unapendwa huku, najua umesikia sifa zetu za mapenzi na namna tunavyojua kupenda, ila kwa sasa tumeamua kukupenda wewe peke yako mama.
Karibu bimkubwa, ninakuahidi kuuona upendo ambao hujawahi kupewa na wanatanga, ni matumaini ziara yako itakuwa yenye mafanikio kwa wanatanga, karibu Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan.