Dada angu usichukie Tanga ilipaswa iwe mbali sn, bandari ya kwanza Tanga, shule ya kwanza Tanga, Reli ya kwanza Tanga, lakini bado ni maskini sababu ya ujinga wenu wa kukumbatia CCM. Mmebaki kuvaa shanga na kukata viuno wajinga wakubwa nyie
Uko sahihi kabisa @ Ben.
Mimi ni M-TA asili lakini sitaki kuwa biased katika kukataa ukweli unaosema.
Yatupasa kubadili namna yetu yabkufikiri ili tutoke tulipo Kwama KW a miaka mingi sana.