Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Kicheko na kilio havifanini japo zote hali za hisia 0.KARIBU TANZANIA Nchi isiyoisha matukio na watu wake wanaendeshwa kwa matukio(mitandao) kila mtu anajua yaani mchumi atakupa habari au sheria za utabibu na mwanasheria atakuambia mambo ya uchumi. Leo hili kesho lile na kila mtu anajifanya kastaarabika.