Martin BM Member Joined Jul 2, 2020 Posts 16 Reaction score 22 Jul 12, 2020 #1 TIRIRIKA hapo chini kwa Mambo na majambo ya watanzania na vituko vyao. Mimi naanza hiviiiiii "Ambako watu hununua bundle ili wapost Kama hawako vizuri kiafya badala ya kununua dawa".
TIRIRIKA hapo chini kwa Mambo na majambo ya watanzania na vituko vyao. Mimi naanza hiviiiiii "Ambako watu hununua bundle ili wapost Kama hawako vizuri kiafya badala ya kununua dawa".
Mikopo Chefuchefu JF-Expert Member Joined May 15, 2017 Posts 3,373 Reaction score 6,795 Jul 12, 2020 #2 Nchi ambayo uchumi wake unakua kwa kasi kuliko kuku wa kisasa!
stephot JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 17,216 Reaction score 26,225 Jul 12, 2020 #3 Covid-19 imeingia mitini bila ya kuaga...
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 23,901 Reaction score 58,103 Jul 12, 2020 #4 .....imehama kutoka uchumi mdogo wa chini kwenda mdogo wa kati kelele nchi nzima
tony92 JF-Expert Member Joined Jul 17, 2013 Posts 2,398 Reaction score 3,691 Jul 12, 2020 #5 Inajenga bwawa kubwa la kufua umeme litakalozaliza 2000MW.
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 23,928 Reaction score 63,499 Jul 12, 2020 #6 Makonda kaonesha cheti cha form four.