Computer4Sale Karibu Tech Company ujipatie laptop, computer pamoja na accessories aina zote Kwa bei ya punguzo msimu wa Valentine

Computer4Sale Karibu Tech Company ujipatie laptop, computer pamoja na accessories aina zote Kwa bei ya punguzo msimu wa Valentine

Siku nyingine ukileta tangazo weka na bei ya bidhaa zote/huduma ya kile unachouza. Watu wanapaswa kuuliza bei ya kile tu ambacho haujakiorodhesha endapo itatokea mtu akaulizia. Huwa inaongeza uaminifu kwa mteja ukiweka bei bayana kuliko kukimbilia PM au kuweka mawasiliano mteja akutafute. Anza kuweka bei elekezi kisha chini weka mawasiliano. Ukifanya hivyo utakuja kunishukru baadae
 
Karibu nikuzie laptop na computer aina zote kama:

-HP

-DELL

-LENOVO

-APPLE

-FUJITSU

-ALIENWARE

-SAMSUNG n.k

Accessories aina zote zinapatikana kama:

-RAM (1gb 2gb 4gb 8g)

-Hard disk (180gb, 320gb, 500gb, 1000gb, 2000gb)

-Adapter charge aina zote

-Keyboard na Mouse wired na wireless

-VGA, DVI, HDMI na RCI

-Monitor kuanzia inch 17, 19, 20, 22 na 24

Nafanya installations za OS na program zote:

-Windows 7, 8, 10 na 11

-MacOS Snow Leopard, Mountain Lion, Tger, Sierra, High Sierra, Mojave, Big Sur, Monterey

-Antvirus

-programs (Adobe, Microsoft Office, Tally, Web Browsers, Games n.k)

Natengeneza Website na Application/Programs aina mbalimbali kama za e-commerce, Za makampuni, Za NGO's n.k
Napatikana Ilala karume.
Wasiliana nami Kwa namba 0744698283

#Nafanya maintenance ya software na Hardware Kwa laptop na Computer Kwa bei nafuu

View attachment 2117813

View attachment 2117833
Nipe bei yenu ya HP Envy 360 ,15T,Ram 8GB+,HDD/SDD 1TB,with NVIDIA
 
Back
Top Bottom