Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,071
- 6,753
haaah haha haaa!Kwani ni ngumu kuimba na kuwa mjasiriamali wa kuku.Karudi na wimbo gani?..Biashara ya kuku imemshinda?
Nimeuliza tu mkuu..Mana nahisi huo ujasiriamali ndo kitu pekee anachoweza kwa sasahaaah haha haaa!Kwani ni ngumu kuimba na kuwa mjasiriamali wa kuku.
Ulikuwa na umri gani ulipokuwa unapenda kuku kapanda baiskel bata kavaa laizoni
Mkuu ndo jina la hiyo secondary au?sekondari mkuu wakati ule
Unaijua hiyo shule ??Mkuu ndo jina la hiyo secondary au?
Ndo nipo hapo kidato cha 6 bwana pwiloUnaijua hiyo shule ??
Dah nilimaliza hapo na mm 4m6Ndo nipo hapo kidato cha 6 bwana pwilo