mtz daima
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 1,561
- 579
Mr nice ni kweli kapotea lakini anastahili sana kutambuliwa na kuhemiwa katika kukuza tasnia ya muziki. Huyu jamaa ndio aliyeuza bongo flava afrika mashariki hadi wasiojua kiswahili walianza kufuatilia mziki huo na hata kuitambulisha nchi yetu. Ni hayo tu