Karibu tena Mr Nice

Karibu tena Mr Nice

Mr nice ni kweli kapotea lakini anastahili sana kutambuliwa na kuhemiwa katika kukuza tasnia ya muziki. Huyu jamaa ndio aliyeuza bongo flava afrika mashariki hadi wasiojua kiswahili walianza kufuatilia mziki huo na hata kuitambulisha nchi yetu. Ni hayo tu
 
Huyu Nice siijui ni mchaga wa wapi? wakati yuko on top of the game,akiwa ziarani Europe, watu walimstua-aoe huku majuu hata ndoa feki apate residence ili mambo yakigeuka apate pa kuegemea,akajiona star akaringa-leo hii haeleweki-musicians wa Zaire hata wakiwa juu katika game uwa na ndoa za kuumpa residence ulaya-game likikataa uja ulaya kupata akili mpya
 
nasikia mchaga wa Zanzibar!
 
Hahahahaaa hiyo biashara alianza lini mkuu?
Sina habari.
Sijajua ameanza lini..Ila nilimsikia last month kwenye interview akisema ye mziki anaufanya kwa nyodo coz ana biashara nyingine zinazomuweka mjini..Akataja hiyo..
 
Sijajua ameanza lini..Ila nilimsikia last month kwenye interview akisema ye mziki anaufanya kwa nyodo coz ana biashara nyingine zinazomuweka mjini..Akataja hiyo..
Hahahahaaa umenichekesha sana mkuu
 
Naandika hili kwa furaha ya kweli kabisa ( in Magufuli voice) huyu msanii nilipendaga sana kazi zake ila baada yakuchezea mangumi mengi mfululizo ya dudu baya akapotea gafla.

Sasa karudi vizuri kweli kipaji hakipotei natafuta wimbo wako niununue
nilimuona TV ONE juzi kati anaongea kistaarabu sana na kujiamini,anasema anajishughulisha na kuku kwa sasa
 
Back
Top Bottom