Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Gor Mahia 0-7 Everton.Mechi itakuwa ngumu.
Gor Mahia watafungwa 4 kwa 0
Gor Mahia hata hiyo chance waliipata kwa kushinda mechi zote kwa penaltiesMpira ni dakika 90, tusubiri..lolote linaweza kutokea
Hapana Mkuu, hii ndiyo timu pekee iliyoshinda mechi zake zote bila kupiga matuta.Gor Mahia hata hiyo chance waliipata kwa kushinda mechi zote kwa penalties
Asante kwa kunirekebishaHapana Mkuu, hii ndiyo timu pekee iliyoshinda mechi zake zote bila kupiga matuta.
Asante kwa kunirekebishaHapana Mkuu, hii ndiyo timu pekee iliyoshinda mechi zake zote bila kupiga matuta.
Mechi itakuwa ngumu.
Gor Mahia watafungwa 4 kwa 0
Sasa hivyo hamu itaishaje?Nina hamu ingekuwa Simba na Everton au Yanga na Everton