Karibu tubashiri matokeo ya Gor Mahia vs Everton

Karibu tubashiri matokeo ya Gor Mahia vs Everton

Gor Mahia hata hiyo chance waliipata kwa kushinda mechi zote kwa penalties
Hapana Mkuu, hii ndiyo timu pekee iliyoshinda mechi zake zote bila kupiga matuta.

Michuano hii iliyoanza Juni 5, ilishirikisha timu nane, nyingine Nakuru All Stars, Tusker FC za Kenya pia, Jang’ombe Boys ya Kenya, Yanga, Simba za Dar es Salaam na Singida United ya Singida.

Yanga ni timu pekee ya Tanzania iliyofika Nusu Fainali na kutolewa kwa mikwaju ya penalti 4-2 na AFC Leopards baada ya sare ya 0-0 ndani ya dakika 90.

Jang’ombe Boys ililambwa 2-0 na Gor Mahia katika mchezo wa kwanza, wakati Singida ilitolewa kwa penalti 5-4 na Leopards na Simba ilitupwa nje kwa penalti 5-4 na Nakuru All Stars.

Michuano hiyo mwakani itafanyika Kenya.
 
Wakuuu wote wapenda michezo hasa mpira wa miguu karibuni tujipe raha ktk ushabiki wa kindakindaki na utabiri pia kupata jinsi vile mechi itakua inasonga.....
 
Nimejiuliza hivi Rooney asingekuwepo ingekuwaje na Lukaku alisepa...timu isingekwa na nguvu kihivyo.
 
Game saa ngp?

Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
 
Nina hamu ingekuwa Simba na Everton au Yanga na Everton
 
Gormahia hata kama walishinda ni kwabahati sana sports pesa super cup lkn kwasasa watapigwa 4 kwa mtungi Looney 2 xiyo zaidi ya hapo

Sent from my itel it1507 using JamiiForums mobile app
 
1dd4d462e81fe228c6e8f7e62bc84fb0.jpg
 
Back
Top Bottom