plumber hydrogen
JF-Expert Member
- Feb 17, 2022
- 881
- 1,537
- Thread starter
-
- #321
Ahh panoja mkuu lakini usiwabane sana mafundiHuu uzi kwa sisi tunaoendelea kujenge yaani tunasmile kwa mbaaali, huku tukiwaza jinsi tutakavowabana koo wakina fundi Maiko.
Mardadi sana.
Ahsante mleta uzi huu.
Asante mkuuUzi wa adabu sana huu
Huu uzi kwa sisi tunaoendelea kujenge yaani tunasmile kwa mbaaali, huku tukiwaza jinsi tutakavowabana koo wakina fundi Maiko.
Mardadi sana.
Ahsante mleta uzi huu.
Tank lipo umbali gani toka chini kuja juu mkuu?Mkuu, Nina shida ya maji nyumbani kwangu. Kwanza pressure ndogo na Nina tumia overhead tank. Pili siwezi kupata maji sehemu Zaid ya moja kwa pamoja mfano, nikifungua koki moja tu koki nyingine zote hazitoi maji.
Ok, swali lilikuwa kwa nini pressure inapotea?PRESSURE PUMP...Hii matumizi yake nikuongeza msukumo wa maji kwa sehemu zenye msukumo mdogo lakini kumbuka pressure yake ikiwa kubwa ina weza kuaribu mifumo ya ndani ikwemo bomba shower n.k ni bora itumike kupandisha maji kwenye tank na ya tank ndio yatumike ndani unless angle valve usifungue mpaka mwisho hili kulinda vifaa cha mwisho hakikisha umenunua original wengi ulalamika kupoteza ufanisi au kufa haraka...View attachment 2537959
Liko usawa wa paa la nyumba.Tank lipo umbali gani toka chini kuja juu mkuu?
Unatumia maji ya chumvi?Liko usawa wa paa la nyumba.
Hapana mkuu natumia maji ya DAWASA.Unatumia maji ya chumvi?
Ok kwanza chungulia wingi wa maji yapo kiasi gani ndani ya tank kama yapo mengi nenda uangalie outlet ya tank ina gate valve kaangalie kama imefunguliwa mpaka mwisho au kidogo sometime mtu ana weza kuichezea pili nenda kwenye gate valve inayo control maji kutoka kwenye tank kwenda ndani uangalie imefunguliwa mpaka mwisho au kidogo kama hipo sawa..Nenda kwenye outlet ya tank fungua angalia kama maji yanatoka mengi au kidogo kama yanatoka kidogo basi tank litakuwa na tope..Hapana mkuu natumia maji ya DAWASA.
Bei gani kiongoziBlack colour wc choo cha kukaaView attachment 2516890
Laki mbili na arobainiBei gani kiongozi
hii 'bath tube' bei gani?
Fungua kijibomba ambacho kimeunga hapo kwenye pump kinacho peleka maji ndani then uangalie kama itajiwasha..Ikijiwasha hapo ujue pump ndio mbovu lakini isipo jiwasha fatilia gate valve zote chini kwenye kwenye kati ya bomba na elbow au kutoka kwenye bomba la pump kwenda ndani kuna leakage ndogo sana jaribu kuchunguza kwa makini hilo bombaNina tatizo la automatic pressure pump kujiwasha kila muda pasi na kufungua bomba la maji nimetizama leakage hakuna nimejaribu kufunga gate valve za kila choo bado mchezo wa kujiwasha unaendelea inaweza kua nini Injinia
Milioni mojahii 'bath tube' bei gani?