Karibu tufahamishane kuhusu aina tofauti za bathtub, jiko, karo na vyoo

Karibu tufahamishane kuhusu aina tofauti za bathtub, jiko, karo na vyoo

Ngoja nijichange aisee. Ila hicho choo hivi tanki lake linakuwa haliharibiki?? Huko ndani likiharibika maana yake patabidi pabomolewe kutengeneza?
Lina halibika lakini ukichukua brand nzuri ni mkataba
 
Bath tub millioni mbili na laki sita
Ukinunua material popote pale si tuna kuja kufunga kwa laki mbili...View attachment 2642215

Natafuta za namna hii. Unajua zinapatikana wapi?

1733646009472.png


1733646034638.png


1733646051856.png
 
Back
Top Bottom