Seawhale
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 1,477
- 1,668
Mkuu, hiyo pipe ya kunapuka ina kazi gani hapo?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, hiyo pipe ya kunapuka ina kazi gani hapo?.
Asante mkuuUzi safi sana
Mkuu sija elewa vizuri swali lako lakini kama una uliza kuhusu hiyo bomba juu nyeupe ni over flow endapo basin lita leta shida ya waste water kuto kwenda basi yata pitia hapo hiyo basin ukitazama kwa juu kuna tundu hilo ndio over flowMkii, hiyo pipe ya kunapuka ina kazi gani hapo?.
Thanks, umejibu kama nilivyouliza.Mkuu sija elewa vizuri swali lako lakini kama una uliza kuhusu hiyo bomba juu nyeupe ni over flow endapo basin lita leta shida ya waste water kuto kwenda basi yata pitia hapo hiyo basin ukitazama kwa juu kuna tundu hilo ndio over flowView attachment 3023953
Asante mkuuThanks, umejibu kama nilivyouliza.
Bora hiki,vile vya kununua bila P trap ukikutana na fundi hajui kuweka hizo P trap vizuri maji hayakai ndani ni harufu mwanzo mwishoChoo hiki kina p trap yake bei 120,000 mpaka 85,000 kwa bei za kariakoo angalizo hiki choo kina itaji watu wastaarabu kina itaji matumizi sahihi akichelewi kuziba View attachment 3000426
Chenye trap kina itaji matumizi sahihi nimekutana na changamoto sana asa ya kuziba tofauti na hivi vya kawaidaBora hiki,vile vya kununua bila P trap ukikutana na fundi hajui kuweka hizo P trap vizuri maji hayakai ndani ni harufu mwanzo mwisho
Mkuu,hili ndicho choo cha P trap?? Ambacho kinababanishwa ukutani?
P trap mkuu kwa sasa tuna kiweka kama mazingira ya kiufundi yamekuwa magumu mfano Engineer anaye simamia ghorofa kasahu kulaza bomba za maji taka na zege lisha mwagwa ina maana ukitaka kutumia mfumo wa S trap kwenye vyoo utajikuta umeongeza inch 7 au 9 chooni kulificha bomba...Au tiles zisha wekwa so boss ana taka choo cha kukaa lakini hataki tiles zake ziguswe itabidi tutumie choo cha P trap..Mkuu,hili ndicho choo cha P trap?? Ambacho kinababanishwa ukutani?
Faida na hasara zake ni zipi?
Naomba mfano wa choo cha s trapP trap mkuu kwa sasa tuna kiweka kama mazingira ya kiufundi yamekuwa magumu mfano Engineer anaye simamia ghorofa kasahu kulaza bomba za maji taka na zege lisha mwagwa ina maana ukitaka kutumia mfumo wa S trap kwenye vyoo utajikuta umeongeza inch 7 au 9 chooni kulificha bomba...Au tiles zisha wekwa so boss ana taka choo cha kukaa lakini hataki tiles zake ziguswe itabidi tutumie choo cha P trap..
Hasara yake hiki choo ni kuvuka kwa flexible pipe (trap ya utmbo) inayo onganisha choo na bomba la inch 4 na kusabisha uchafu au maji taka kuvuja..Pia hakina mvuto sana maana trap ina onekana saometime na bomba la jnch 4 lina onekana..
Kwa upande wangu S trap ni choo chenye mvuto na hakina mambo mengi.
Mkuu angalia huo mfano hapo kuna P trap na S trap (WC)Naomba mfano wa choo cha s trap