Karibu tufahamishane kuhusu aina tofauti za bathtub, jiko, karo na vyoo

Karibu tufahamishane kuhusu aina tofauti za bathtub, jiko, karo na vyoo

Wc bei 250,000/= Dar es salaamView attachment 2971505View attachment 2971504
IMG-20240415-WA0008.jpg
 
Wall hung toilet hiki bei yake kikiwa complete laki 7 na nusu mpaka nane flush tank bei yake ni laki 4 na nusu choo laki 3 mpaka laki nne
IMG-20240527-WA0007.jpg
 
Choo hiki kina p trap yake bei 120,000 mpaka 85,000 kwa bei za kariakoo angalizo hiki choo kina itaji watu wastaarabu kina itaji matumizi sahihi akichelewi kuziba
IMG-20240527-WA0010.jpg
 
Choo cha kukaa bei 250,000 mpaka 230,000 choo cha kukaa bei inakuwa juu endapo kitakuwa kineungana namanisha choo na flush tank kama avija ungana bei ina pungua mpaka 200,000 au 170,000
IMG-20240522-WA0027.jpg
 
Hili jacuzz bei 2,800,000 kwa bei ya kariakoo lakini unaweza uliza kwenye hardwere za wachina na Waturuki au uka agiza moja kwa moja kutoka nje kupuguza kiasi flani cha pesa
IMG-20240308-WA0002.jpg
 
Hili Jacuzz bei 2,950,000 kwa bei ya kariakoo lakini unaweza bado ukatafuta kwa Wachina,Waturuki,Waindi kwa una fuu wa bei
IMG-20240308-WA0004(1).jpg
 
Mixer showe rose bei 250,000 mpaka 230,000 kutegemeana na hard ware kariakoo
IMG-20240527-WA0014.jpg
 
Back
Top Bottom