Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,206
- 18,549
Hapa upo vozuriKwa kulinda ukuta na maji au fangas si vyema chemba ika anzia ukutani ina bisi isogee mbele kidogo View attachment 2641660
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa upo vozuriKwa kulinda ukuta na maji au fangas si vyema chemba ika anzia ukutani ina bisi isogee mbele kidogo View attachment 2641660
Ndio mkuuHapa upo vozuri
Fittings mkuuPlumbing baada ya tiles?😁😁😁😂😂😂
Fittings mkuuPlumbing maana yake kuweka mfumo na vifaa vyake so ajakosea ata kidogo so baada ya tiles kinacho fuata ni sanitary plumbing
Huyu fundi vigae ni balaa, kanyoosha kama rula.Choo cha p trapView attachment 2640337
Ungeweka na material ni bei ganiBath tub aina hii kila kwa fundi laki nane
Ukinunua we material tunafunga kwa laki moja na ishirini....View attachment 2642222View attachment 2642221
MchinaHuyu fundi vigae ni balaa, kanyoosha kama rula.
Je ni mchina au india,spanish?
Vyoo vya kuchoma imara kiasi chakeSi nzuri kuwa na Bathtub ,ni hatari kwa vyapombe na watu wa kubembea! Ni kama kuwa na swimming pool.
Material bei laki saba..Ungeweka na material ni bei gani
Twyford au GoodWill au Imported?Mchina
GoodWill ila kuna mahali nilienda kufanya fitting nikakuta tiles nzuri na ngumu ni ya mchina lakini inatoka Zambia..Twyford au GoodWill au Imported?
Fundi kapiga rula haswaaGoodWill ila kuna mahali nilienda kufanya fitting nikakuta tiles nzuri na ngumu ni ya mchina lakini inatoka Zambia..
Kwa uzoefu wangu kuna mafundi wana uwezo mkubwa sana japo hawapo mtandaoni kabisa kutangaza kazi zao awa uta wakuta kwenye makampuni aswa ya wa Indi,Wachina na Wataruki kutokana na kusimamiwa na kupata uzoefu wa wenzetu kazi zao zinakuwa nzuri so mimi nikapata mchongo wa Tiles uwa nawachukua mafundi kutoka Estim wako poa sanaFundi kapiga rula haswaa
Bei zao zinakuwaje?Kwa uzoefu wangu kuna mafundi wana uwezo mkubwa sana japo hawapo mtandaoni kabisa kutangaza kazi zao awa uta wakuta kwenye makampuni aswa ya wa Indi,Wachina na Wataruki kutokana na kusimamiwa na kupata uzoefu wa wenzetu kazi zao zinakuwa nzuri so mimi nikapata mchongo wa Tiles uwa nawachukua mafundi kutoka Estim wako poa sana
SQM 5000/= kama kazi kubwa bei yao ina shuka inakuwa 3500/= kwa SQMBei zao zinakuwaje?
Wale hata wanaopanga paving wako vizuri sana.SQM 5000/= kama kazi kubwa bei yao ina shuka inakuwa 3500/= kwa SQM
I'm so interestedHabari ndugu zangu wa JF,
Uzi maalum wa picha aina mbali mbali za vyoo kitchen sink majakuzi vyoo mabeseni bath..Pia material mapya yanayo ingia sokoni aina mbali mbali za cock n.k
Pia unaweza uliza chochote kinacho husiana na bomba kwa ujumla.
Pia nafanya tathimini na thamani ya material ya vifaa vya bomba... 0785707660
View attachment 2475285