Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Nikiona plumber anatumia 45" badala ya elbows kama hapo kwenye sehemu ya washing basin najua huyo anajuaMaji baridi&moto awamu ya kwanza View attachment 2536591
Kazi iko smart sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikiona plumber anatumia 45" badala ya elbows kama hapo kwenye sehemu ya washing basin najua huyo anajuaMaji baridi&moto awamu ya kwanza View attachment 2536591
Hapo kwenye maungio badala ya tee fundi makini angeweka y-tee
Kazi nzuri ila mwambie aende na wakati siku hizi wajanja wanatumia chemba za rodding eye kwenye sewage systemFundi mzuri wa kujenga chemba kwa ubora kwa bei ya elfu kumi na nane no 0785707660View attachment 2497127
Always eneo usika ndilo lina amua utumie aina gani ya joint aswa kwenye wast na soil sehem yenye changamoto tunatumia joint ya Ytee au elbow ya 45° kikubwa kanuni ya waste and soil izingatiweHapo kwenye maungio badala ya tee fundi makini angeweka y-tee
Kila kitu kina tegemeana na mwenye kazi gharama na upatikanaji wa material mkuu nasisitiza kikubwa ni kuzingatia kanuni ya waste na soil na kuhakikisha drainage system hipo sawaKazi nzuri ila mwambie aende na wakati siku hizi wajanja wanatumia chemba za rodding eye kwenye sewage system
View attachment 2643374
Kwa kuzingatia uelekeo wa maji taka y-tee ilikuwa sahihi zaidi. Lengo ni flows ya maji . Mfano huu hapaAlways eneo usika ndilo lina amua utumie aina gani ya joint aswa kwenye wast na soil sehem yenye changamoto tunatumia joint ya Ytee au elbow ya 45° kikubwa kanuni ya waste and soil izingatiwe
Katika vyanzo vyangu vya kuaminika hii hawana labda jaribu maduka ya Waindi unaweza pata Kariakoo mtaa wa Omary londo na sikukuuNatafuta hii kitu washing machine iliyounganishwa na basin 2 in 1. Kama ipo gharama yake ipoje?
Cc; plumber hydrogen
View attachment 2643348
View attachment 2643353
Poapoa mkuu asante kwa mwelekezoKatika vyanzo vyangu vya kuaminika hii hawana labda jaribu maduka ya Waindi unaweza pata Kariakoo mtaa wa Omary londo na sikukuu
Ytee tuna itumia endapo bomba la basin na Non trap zita kosa shap ya square so itabidi tutumie ytee badala ya Tee kuipata hiyo shape ambayo itakuwa V shap kuhusu flow ya maji ni kutegemeana vipimo vyako zaidi zaidi kufuata kanuni slop isiwe kali japo kwenye waste sio shida sanaKwa kuzingatia uelekeo wa maji taka y-tee ilikuwa sahihi zaidi. Lengo ni flows ya maji . Mfano huu hapaView attachment 2643410
Asante mkuu uhaminifu ndio ngao yangu nafanya kazi lakini uaminifu ndio mtaji wangu wa leo na kesho..Uzi maridadi sana. Vijana wetu changamoto yao kubwa ni uaminifu. Kiukweli plumber hydrogen uzi unautendea haki. Kama wewe ni mwaminifu, mbeleni kuna mazuri. zaidi. Ngoja nijipange ntakutafuta.